Kwa biashara za Tanzania

Tengeneza ankara.
Tuma.
Ujue nani amelipa.

Ankara za kitaalamu kwa TZS, kwa Kiswahili au Kiingereza — kutoka kwenye simu yako, bila mafunzo.

Bila kadi ya benki. Ankara ya kwanza ni yako.

Zawadi Creative Studio

Mikocheni B, Dar es Salaam · +255 712 000 111

Ankara

AKR-00042

Kwa

Mlimani Stores Ltd

Kariakoo, Dar es Salaam

+255 754 222 333

accounts@mlimani.co.tz

Tarehe ya kutolewa

28 Jul 2026

Tarehe ya malipo

11 Ago 2026

Kutoka kwa

Zawadi Creative Studio

TIN: 123-456-789

MaelezoIdadiBeiKiasi

Website development

Kurasa 5, mobile-first, na fomu ya mawasiliano

12,000,0002,000,000

Hosting na domain (mwaka 1)

1300,000300,000
Jumla ndogoTZS 2,300,000
JumlaTZS 2,300,000

Masharti ya malipo

Malipo yakamilike ndani ya siku 14 tangu tarehe ya ankara.

Vigezo na masharti

Kazi huanza baada ya malipo ya awali ya 50%. Marekebisho mawili bure.

Maelezo ya ziada

Asante kwa kufanya kazi nasi!

Taarifa za benki

M-Pesa (Lipa Namba): 5123456 — Zawadi Creative Studio

THIS IS A COMMERCIAL INVOICE.

Sarafu
TZS asilia
Malipo
M-Pesa · Tigo · Airtel · Benki
Kodi
TIN na VRN
Lugha
Kiswahili + English
Kutuma
WhatsApp

Hatua tatu

Kutoka kazi mpya hadi pesa mkononi.

Hakuna kujifunza mfumo. Ukijua kudai pesa, tayari unajua kutumia Ankara.

  1. 01

    Unda

    Jina la mteja, huduma, bei. Jumla, punguzo na VAT vinajipiga vyenyewe.

  2. 02

    Tuma

    PDF kwa WhatsApp, barua pepe, au link inayofunguka kwenye simu yoyote.

  3. 03

    Fuatilia

    Nani amefungua. Nani amelipa. Nani bado. Kumbusha kwa mbofyo mmoja.

Miundo saba, rangi kumi

Ankara yako ionekane kama biashara yako.

Ankara ile ile, mavazi tofauti. Chagua muundo na rangi — kisha kila ankara inayofuata inaifuata.

Zawadi Creative Studio

Mikocheni B, Dar es Salaam · +255 712 000 111

Ankara

AKR-00042

Kwa

Mlimani Stores Ltd

Kariakoo, Dar es Salaam

+255 754 222 333

accounts@mlimani.co.tz

Tarehe ya kutolewa

28 Jul 2026

Tarehe ya malipo

11 Ago 2026

Kutoka kwa

Zawadi Creative Studio

TIN: 123-456-789

MaelezoIdadiBeiKiasi

Website development

Kurasa 5, mobile-first, na fomu ya mawasiliano

12,000,0002,000,000

Hosting na domain (mwaka 1)

1300,000300,000
Jumla ndogoTZS 2,300,000
JumlaTZS 2,300,000

Masharti ya malipo

Malipo yakamilike ndani ya siku 14 tangu tarehe ya ankara.

Vigezo na masharti

Kazi huanza baada ya malipo ya awali ya 50%. Marekebisho mawili bure.

Maelezo ya ziada

Asante kwa kufanya kazi nasi!

Taarifa za benki

M-Pesa (Lipa Namba): 5123456 — Zawadi Creative Studio

THIS IS A COMMERCIAL INVOICE.

Minimal

Bold

Zawadi Creative Studio

Mikocheni B, Dar es Salaam · +255 712 000 111

studio@zawadi.co.tz

TIN: 123-456-789

Ankara

AKR-00042

Kwa

Mlimani Stores Ltd

Kariakoo, Dar es Salaam

+255 754 222 333

accounts@mlimani.co.tz

Namba ya ankara: AKR-00042

Tarehe ya kutolewa: 28 Jul 2026

Tarehe ya malipo: 11 Ago 2026

MaelezoIdadiBeiKiasi

Website development

Kurasa 5, mobile-first, na fomu ya mawasiliano

12,000,0002,000,000

Hosting na domain (mwaka 1)

1300,000300,000

Taarifa za benki

M-Pesa (Lipa Namba): 5123456 — Zawadi Creative Studio

Jumla ndogo: TZS 2,300,000

Jumla: TZS 2,300,000

Masharti ya malipo

Malipo yakamilike ndani ya siku 14 tangu tarehe ya ankara.

Vigezo na masharti

Kazi huanza baada ya malipo ya awali ya 50%. Marekebisho mawili bure.

Maelezo ya ziada

Asante kwa kufanya kazi nasi!

THIS IS A COMMERCIAL INVOICE.

Banner

NO. AKR-00042

Ankara

Tarehe ya kutolewa: 28 Jul 2026Tarehe ya malipo: 11 Ago 2026

Kwa:

Mlimani Stores Ltd

Kariakoo, Dar es Salaam

+255 754 222 333

accounts@mlimani.co.tz

Kutoka kwa:

Zawadi Creative Studio

Mikocheni B, Dar es Salaam · +255 712 000 111

studio@zawadi.co.tz

TIN: 123-456-789

MaelezoIdadiBeiKiasi

Website development

Kurasa 5, mobile-first, na fomu ya mawasiliano

12,000,0002,000,000

Hosting na domain (mwaka 1)

1300,000300,000
Jumla ndogoTZS 2,300,000
JumlaTZS 2,300,000

Masharti ya malipo

Malipo yakamilike ndani ya siku 14 tangu tarehe ya ankara.

Vigezo na masharti

Kazi huanza baada ya malipo ya awali ya 50%. Marekebisho mawili bure.

Maelezo ya ziada

Asante kwa kufanya kazi nasi!

Taarifa za benki

M-Pesa (Lipa Namba): 5123456 — Zawadi Creative Studio

THIS IS A COMMERCIAL INVOICE.

Poster

Baada ya kutuma

Kudai pesa ndiyo kazi ngumu. Hapo ndipo Ankara inakaa.

Malipo kwa awamu

Mteja kalipa nusu? Rekodi kiasi, Ankara inashika deni lililobaki hadi senti ya mwisho.

Vikumbusho vyenye heshima

Kirafiki, kikazi, msisitizo au notisi ya mwisho. Wewe unachagua sauti; Ankara inaandaa maneno.

Wateja wamehifadhiwa

Andika jina mara moja. Mawasiliano, TIN na bei zako za kawaida zinarudi ankara inayofuata.

Dashboard ya pesa

Kiasi gani kinadaiwa, kimelipwa mwezi huu, na kimechelewa. Skrini moja.

Msaidizi

Mwambie Ankara — yeye ndiye karani wako.

Uliza kwa Kiswahili au Kiingereza. Ankara inaandaa rasimu na kukuonyesha — haitumi, haifuti, wala haisemi umelipwa bila wewe kuthibitisha.

Nani bado hajanilipa?
Wateja watatu wanadaiwa jumla ya TZS 4,150,000. Mlimani Stores ndiye anayechelewa zaidi — siku 12.
Andaa kikumbushoOnyesha ankara zote

Bei

Bei moja. Kila kitu ndani.

Hakuna madaraja, hakuna vikomo vya ankara, hakuna kulipia kila mtumiaji.

Kila mwezi

TSh 10,000

kwa mwezi

Anza kwa mwezi
Okoa TSh 70,000

Kila mwaka

TSh 50,000

kwa mwaka — badala ya TSh 120,000

Anza kwa mwaka

Ankara yako ya kwanza ni yako bila malipo — utaipakua ikiwa na alama ndogo ya Ankara chini. Baada ya hapo, lipia ili kuendelea kutengeneza, kuhifadhi na kufuatilia.

Kuhusu kodi

Hatutakudanganya kuhusu TRA.

Ankara unayotengeneza hapa ni ankara ya kibiashara — si risiti ya kodi ya TRA. Kila hati inabeba maneno hayo wazi, kwa Kiswahili na Kiingereza.

Risiti rasmi za TRA zinatolewa tu kupitia mfumo ulioidhinishwa wa EFD/VFD. Tunaujenga. Hatutaita PDF risiti ya kodi kabla ya wakati wake.

Muda ni pesa, okoa vyote.

Tengeneza ankara yako ya kwanza sasa. Hakuna akaunti inayohitajika mpaka utakapotaka kuipakua.

Tengeneza ankara yako ya kwanza